Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Malalamiko yawe mafupi mafupi tafadhali[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malalamiko yawe mafupi mafupi tafadhali[emoji23]
Madunduka wataanz kulalamija kama vile wao hawakuwemo Kwenye mashindano haya wakatukimbia[emoji23][emoji23][emoji23]Malalamiko yawe mafupi mafupi tafadhali
Tusha zoea kushinda hatuna pressureUzi umedoda huu!!
Hahahaaa. Nakazia Mkuu.Malalamiko yawe mafupi mafupi tafadhali
Nyuma MWIKO UPAWA daima MbeleDaima mbele nyuma mwiko
Afrika nzima wanatutegemea [emoji28]
Njoo Njoo NjooMayele goli likimuona huwa linamuita.
Uzi umedoda huu!!
Michuano ya loosers hii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...! Yasiwe marefu,maana ni mengi. Makolo wako wengi wengi wengine vilioMalalamiko yawe mafupi mafupi tafadhali
Makolokolo yatalalamika kuwa Yanga katembeza bahasha au?Kwa sasa tutegemee kuona comments za madunduka yakilalama, Yanga Raha sana
Kuepuka kulowesha simu wakat wa ku type maana kulia hakuchez mbaliHahahaaa. Nakazia Mkuu.