FT: ASFC | Yanga S.C 1-0 Geita Gold F.C | Chamazi Complex Stadium | 08.04.2023

Yanga ya leo ilikuwa dhaifu sana ingawa Kocha alifanya mabadiliko round ya pili lakini bado timu ilikuwa dhaifu sana. Nimeanza kuigopa derby. Imekuwaje Doumbia hajawahi kupewa namba?
na sijui kama itabadilika katika siku sita zijazo
 
Singida akicheza mpira,uto hatoboi fainali,ila kwa kuwa ni yanga b,basi ndo hvyo fainali ni kolo vs utopolo na mshindi ni kolo
Ni kama tu itakavyokuwa kwa Azam Fc, ambayo pia inafahamika kama Simba B. Wanaweza wakaamua tu kuwalegezea kaka zao, ili walau safari hii wafike fainali.
 
Yanga ya leo ilikuwa dhaifu sana ingawa Kocha alifanya mabadiliko round ya pili lakini bado timu ilikuwa dhaifu sana. Nimeanza kuigopa derby. Imekuwaje Doumbia hajawahi kupewa namba?
Siyo kazi rahisi kwa timu kucheza katika kiwango cha juu kila mechi. Muhimu ushindi ulipatikana. Mechi ijayo bila shaka watafanyia kazi mapungufu yote yaliyo jitokeza.
 
Ni kama tu itakavyokuwa kwa Azam Fc, ambayo pia inafahamika kama Simba B. Wanaweza wakaamua tu kuwalegezea kaka zao, ili walau safari hii wafike fainali.
Azam ni simba b??unajua kuwa msimu huu simba kaangusha poits 4 kwa azam,kapata moja tu,ila nyie kwa singida mtachukua zote nje ndani,mwigulu akisema nani atapinga sasa
 
Azam ni simba B, Coastal Union ni simba B! Na Namungo pia ni simba B. Na kama huamini, shauri yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…