Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
na sijui kama itabadilika katika siku sita zijazoYanga ya leo ilikuwa dhaifu sana ingawa Kocha alifanya mabadiliko round ya pili lakini bado timu ilikuwa dhaifu sana. Nimeanza kuigopa derby. Imekuwaje Doumbia hajawahi kupewa namba?