Simba wapiHawa Geita wametumwa na Simba kutuumizia wachezaji wetu
Kawaida yao wamebakiza kelele tuUto wameanza kubebwa
Napotezea muda hapa baada ya alostoNahuku upo?
Mbabe ni yule anayefunga goli nyingi sio moja la kunyatia baada ya mtu kujisahauYanga ndio mbabe wa timu zote nchini [emoji1241] na Simba akiwemo, sijui ulitaka kusemaje labda
Mpaka aseme kwann amkane Yesu.Huyu clement tangu ajiite Walid Keisha habari yake
huyu dogo itakuwa amepewa mtoto wa kipemba aka ArabHuyu clement tangu ajiite Walid Keisha habari yake
Si unajua hizi timu mbili kuu zikiwa hata zinafanya maombi hujisahau kabisa kuwa washabiki wao ni dini mbalimbali?huyu dogo itakuwa amepewa mtoto wa kipemba aka Arab
Kwa hiyo unaona ni sahihi kabisa wachezaji wa Geita Gold kucheza rafu hatarishi. Ok.Hatushindi mpaka wapinzani wapewe kadi nyekundu...asante refa
Mtatamani kwanini msingetolewa na geita katika hatua hii..subirini mje kuingia kwenye mfumo wa Robertinho muone kama mama hamjaitamka ng'ang'aKwa hiyo unaona ni sahihi kabisa wachezaji wa Geita Gold kucheza rafu hatarishi. Ok.
Wapo robo fainali ya CAFCC usisahau hilo....😂😂Mbabe ni yule anayefunga goli nyingi sio moja la kunyatia baada ya mtu kujisahau
Na hilo la Yanga kumuingiza Mayele nalo mnalilalamikia?Kocha kaona maji yamezidi unga akamuingiza, Hii ngoma ingeisha 0-0
Sio chini ya kiwango ni inacheza hovyo mno nachoona kinaendelea kambini huko ni urembo wa kubadili nyweleYanga Leo inacheza chini ya kiwango tulichokizoea