FT: ASFC | Yanga S.C 1-0 Geita Gold F.C | Chamazi Complex Stadium | 08.04.2023

FT: ASFC | Yanga S.C 1-0 Geita Gold F.C | Chamazi Complex Stadium | 08.04.2023

Kimoja kama cha ngurue... na msipokuwa makini mtatolewa kwa aibu sana na Rivers
 
Hii team wasijisahaulishe kitu iko nacho ni kocha ukiondoa Nabi hapo team lazima ifanye utumbo Kaze ni ziada
Viongozi wao ndio kabisa wako hapo sababu ya GSM nje ya hapo ni hawana sifa yoyote kuongoza yanga
 
Kwa hiyo AZAM wanakumbuka tu Ramadhan Kareem tu ila hata kukutakia Pasaka njema hawawezi?
 
Back
Top Bottom