Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Usijisifu kukimbia msifu na anayekukimbizaYanga Leo inacheza chini ya kiwango tulichokizoea
Wanashindana kuweka bleachSio chini ya kiwango ni inacheza hovyo mno nachoona kinaendelea kambini huko ni urembo wa kubadili nywele
Na huyu mtangazaji kazi yake anasifia uongo uongo
Huwa siwaamini kabisa viongozi wa yanga kwenye kusimamia hii team binafsi yanga namuamini Nabi basiWanashindana kuweka bleach
Ukiwatakia wewe pasaka njema yatoshaKwa hiyo AZAM wanakumbuka tu Ramadhan Kareem tu ila hata kukutakia Pasaka njema hawawezi?
Pasaka njema mkuu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kwa hiyo AZAM wanakumbuka tu Ramadhan Kareem tu ila hata kukutakia Pasaka njema hawawezi?
Uarabu mwingiPasaka njema mkuu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ndio itakuwa hivyo, na Yanga atashinda 3-1 na kutetea kombe lakeFinali ni Yanga vs Azam.
Uchaguzi ujao ugombee ili uwe kiongozi bora, badala ya kulalamika tu.Hii team wasijisahaulishe kitu iko nacho ni kocha ukiondoa Nabi hapo team lazima ifanye utumbo Kaze ni ziada
Viongozi wao ndio kabisa wako hapo sababu ya GSM nje ya hapo ni hawana sifa yoyote kuongoza yanga
Ujinga umewajaaUkiwatakia wewe pasaka njema yatosha
Vitu vingine ni very minor, I'm Christian ila I don't careKwa hiyo AZAM wanakumbuka tu Ramadhan Kareem tu ila hata kukutakia Pasaka njema hawawezi?
Ndio itakuwa hivyo, na Yanga atashinda 3-1 na kutetea kombe lake