FT: Azam 0 Pyramids 0

Ila Hawa Wamisri wapo vizuri sana.

Wana nguvu, speed na ball control
 
Dakika 30 milango bado migumu pande zote mbili
 
Azam wanapigwa shambulizi kali lakini madhambi yanatendeka ndani ya boksi , refa anaweka faulo kwenda Pyramids
 
Azam mtoto wa shangazi ajikaze angalau ashinde hata goli moja tu home.
 
Kilichonishangaza hawa Azam walivyowapokea wageni wao Pyramids kuanzia Airport, hotelini mpaka wanaenda uwanjani. Wakifika uko Misri nawao kama watafanywa ivyo basi Ole sabaya atolewe kwa msamaha wa Raisi
 
Yap,Yanga walipigwa mbili CCM Kirumba ni kawaida yao kutia aibu nchi.
Yap waliojiona miamba wakataka ushujaa kwa kufosi, wakaona hawa mafarao tukiwapeleka pale kwa mkapa watacheza kama wako kwao

Sijui nani alitoa ushauri ule kua waende mwanza kwenye uwanja ambao hata wao kihistoria hawajawahi kuwa na matokeo mazuri. Ingekua manara alikuwepo ningesema ni yeye alitoa huu ushauri mbovu, sa sijui nani huyo
 
Uzi ni wa Azam na Pyramid
Sasa hapo Yanga inahusiana na nini? Au tengenezeni uzi wa kuongea umbeya kuhusu Yanga ili tuwaelewe

Kila kitu unachowaza ni Yanga tuuu
Huo ni ushoga

Nipo Mbagala Zakhiem Dar es Salaam, njooni mnikamate mniue
Nilijua tu utakuwa wa dar wengi mnamatizo ya afya ya akili.ila hayo co yangu ni kwa mujibu wa wabobezi wa afya

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…