FT: Azam 0 Pyramids 0

Yaani uzi hauna mahusiano na Yanga, ila lazima uifanyie umbea

Kwanini usiende kwenye thread ya Yanga au Nyuzi za Yanga hamzioni
 
Kila mtu akikaa akiwashwa tu basi anaanza kuongelea Yanga, na lengo lake akunwe vizuri
 
Mjifunze kuongelea sawa na uzi unavyojieleza na sio mihemko yenu iliyo kichwani coz humu sio Facebook wala isntagram
 
Yaani uzi hauna mahusiano na Yanga, ila lazima uifanyie umbea

Kwanini usiende kwenye thread ya Yanga au Nyuzi za Yanga hamzioni
...Makolo FC huwa wanawashwa sanaa bila kuiongelea Yanga. Wanateseka mnooo. Tuwasamehe bure
 
Taratibu basi mtani huu utani wa jadi auhitaji hasira.
Simmeiomba bonaza la kujipima nguvu kwa Mkapa ngojeni sasa tutoke Botswana.

Teh teh teh teh...🀣🀣🀣...amepaniki huyo utopolo...teh teh teh teh...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na msimu ule kuna timu ikapigwa 5+5+5=15 mechi tatu.
 
Wakati huo huo ,mwekezaji anapata hasara kila mwaka:
Upande wa pili wanafurahia wakisikia hivyo, at the same time wana umia kuona bado mwekezaji anaendelea kuwekeza zaidi na zaidi

Wanagundua dhana ya hasara kumbe ilikua ni trick ya mwekezaji kuwafanya upande wa pili waone simba inamuingizia hasara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…