Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Simba nguvu moja. Unyama mwiiiiingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!View attachment 3107568Alhamis hii katika NBC Premier League ni Mzizima Derby, Azam FC kukipiga na wekundu wa msimbazi Simba SC
Mtanange huu utapigwa katika dimba la New Amaan Complex,
View attachment 3106819
View attachment 3107567
Dakika ya 15 Goooal Ateba Azam 0 - 1 Simba
We shikilia bomba mpaka dakika 90 usije ukazima humuRefa anaangalia offside za upande mmoja
Vipi wanalambwa?Lambalamba ...
SifuatiliiPira la azam vipi, zuri?
Beibi,wanarukaruka tu!?
Soma ubao.Una haha sana. Tuliaa
Ila yuko slowHuyu Saidun ni fund sana...
Cjui ni raia wa nchi gani?
Aweeeeee...
Amekutana na Timu nzuri.Pira la azam vipi, zuri?