Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Acha uongo hakuzuia ili Simba aweke ukuta bali Azam waliiba eneo la kuanzishia mpira zaidi ya mita moja kitu ambacho kwa sheria za mpira hakikubaliki.Hapana, wachezaji wengi wa Azam refa aliwa vunja Moyo Sana, Kuna muda walipata in direct kick waka weka mpira Nchini na ku uanza faster, Refa aka zuia shambulizi lao eti wasubiri Simba wawekee ukuta.
Yaani ni comedy tupu.
Hivi kwanini unapenda kusema uongo hata kwa vitu vilivyo wazi kabisa? Hukuona Azam walirudisha mpira nyuma zaidi baada ya mpira wa awali kuanzishia mbele zaidi ya eneo ilipotokea faulu?