FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

Zuga tu hiyo anaifanya.
Sisi tunamuangalia sura yake alipokuwa dimbani. Feisal akiwa anedhamiria jambo huwa kuna mishipa fulani usoni kwake inavimba na anaachama mdomo
Unajifanya unamjua sana Mwanaume mwenzako sio?!
 
Misimu mitatu nyuma hadi sasa kati ya Simba na Yanga nani ana mafanikio makubwa??
Mafanikio na kuwa top class ni mambo mawili tofauti.

Red bulls hata ikae dukani mwaka mzima huwezi kuifananisha na Azam energy hata kama Azam energy inauzwa Kila siku.

Class siyo jambo la mchezo mchezo. Man City pamoja na kutwaa ubingwa mara kadhaa, lakini Bado haijafikia Class ya Liverpool ambayo ilikaa miaka 30 bila ya taji lolote.

Utopolo mnadhani mko klasi ya juu sana. BADO SANA
 
Ujinga kama hauna madhara ina maana yule anayefanya ujinga anajisumbua na kujipotezea pesa na muda hivyo kumpambania mjinga ni kujisumbua. Labda iwe inamkera mtu kwavile una mdhuru.
Ujinga unaweza usiwe na madhara physically ila ukiwa unafanywa na watu wa karibu yako unaweza kukuketea aibu dhidi ya watu ambao wanakuona wewe kama ni mfano.

Simba kwa ukubwa wake hapa ni jinsi ambavyo inatazamwa kama ndio role model wa vilabu vya hapa na nje ya mipaka.

Inapotokea mazingira kama haya maana yake Simba inakuwa muathirika kwa kutiwa aibu.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Mafanikio na kuwa top class ni mambo mawili tofauti.

Red bulls hata ikae dukani mwaka mzima huwezi kuifananisha na Azam energy hata kama Azam energy inauzwa Kila siku.

Class siyo jambo la mchezo mchezo. Man City pamoja na kutwaa ubingwa mara kadhaa, lakini Bado haijafikia Class ya Liverpool ambayo ilikaa miaka 30 bila ya taji lolote.

Utopolo mnadhani mko klasi ya juu sana. BADO SANA
Ona unavyoropoka sasa aisee😂😂😂😂.
Nakuuliza maswali matatu rahisi sana.
1)Kati ya Simba na Yanga nani ana makombe mengi ya ligi kuu!?
2)Kati ya Simba na Yanga nani ana makombe mengi kiujumla!?
3)Kati ya Simba na Yanga nani ana viwango bora katika current performance!??
Punguza kilevi sio kizuri kwa afya.
 
Yote hayo uliyoyataja hayatengenezi Class.

Mbape anacheza ligi ngumu ulaya.lakini haimfanyi awe class Moja na Ronaldo. Messi anayecheza ligi rahisi Marekani ndiyo yupo class Moja na Ronaldo.

Wewe hujiulizi ni kwa nini wamepita wachezaji wengi sana ila wanaolinganishwa ni Hawa tu wanne? yaani.

1. Pele Vs Maradona
2. Messi Vs Ronaldo

Kujenga class siyo jambo rahisi ndugu yangu utopolo.
 
Mtoto Akililia Wembe Wacha Umkate..!

Atakapopata Kidonda ndipo atakapouogopa...!

Mwakani ataona bora Nafasi ya tatu.! Na yeye akutane na Zalani, huwezi jua...
 
Kama la ken gold jana? Tusema ken gold 1 - utopolo 1
Simba 0 - azam 0
Tafuta marudio ya kipindi cha kipyenga cha mwisho cha leo utatuliza mzuka. Ukikipata niite tukae pamoja, niko Buza Mpalanger maskani yetu uto og!
 
Goli la offside, aibu sana Ngoma yuko peke yake, ndo maana Simba ilikandwa 5-1 na Yanga .
Huyu Sasii hafai kuchezesha Derby.
Inakuaje offside wakati amepewa assist na golikipa??
 
Inakuaje offside wakati amepewa assist na golikipa??
Hujui mpira!
Faulo inapigwa , wakati mchezaji wa Simba anapiga kichwa Ngoma yuko in offside position. Kipa kaokoa ukamrudia Ngoma akafunga yuko offside!! Wachezaji wa Azam wamenyoosha mikono ila refa Sasii nae kolo wahed , kaweka kati , uonevu mkubwa! Bahasha zimfikie refa kafanya kazi nzuri aliyotumwa!

Hamna timu makolo nyie, ndo maana mpo ligi ya mademu shirikisho!!
 
Offside ya Bacca Mbeya ambalo ni goli la ushindi umeiona.Goli la Ken Gold umeliona?
Kelele mwaka huu zimeanza mapema sana.Kulikoni?Chezeni mpira wacheni lia lia.Lia Lia FC.
 
Back
Top Bottom