Misimu mitatu nyuma hadi sasa kati ya Simba na Yanga nani ana mafanikio makubwa??Top class kuliko Simba Kwa kigezo gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Misimu mitatu nyuma hadi sasa kati ya Simba na Yanga nani ana mafanikio makubwa??Top class kuliko Simba Kwa kigezo gani?
Sasa yeye si anaichezea 5imba B aumie nini sasa😀Tena angecheza na Yanga angepambana hadi miguu iwake moto
Ateba ndiyo kaumia, alirudi ila aliendelea kuchechemea hadi alipotolewa. Vipi umesusia chama lako?Kuna mtu kaumia?? Tuna daktari /kocha wa viungo mzuri kwa sasa...hakuna kukaa benchi wiki..
Mm siangalii mpira hii second half nimeshatoka kwa Tv
ChogolessTena angecheza na Yanga angepambana hadi miguu iwake moto
Wewe umeingilia mada katikati bila hata kujua niliyekuwa najadiliana nae alisema nini na kwanini nimejibu hivyo. Huko juu kuna mtu kaandika kuwa huko alipo Gamondi roho juu kuigopa Simba. Nikamjibu kuwa Gamondi kaishacheza dhidi ya Al Ahly, Belouizdad, na Mamelodi ambao hizo timu ni top class kuliko Simba. Kwahiyo unakataa kuwa Al Ahly sio bora kuliko Simba?Gharama ya mchezaji haifanyi timu iwe top class.
Kwenye rank kati ya Yanga na Simba ipi ipo juu? Kwa mtazamo wako huu hoja yako kuwa Yanga ni bora kwa kuwa waliwafunga Azam inakufa kifo cha asili
Kiwango na ubora si jambo la kudumu. Jambo la kudumu kwenye Mpira ni daraja.
Hapana, Feisal baada ya mechi alikua ana lalamika na refa Kheri sasi kwa uchungu mkubwa.Tena angecheza na Yanga angepambana hadi miguu iwake moto
Nimemuelewa sana ila hatuwezi kuacha kuusema ujinga eti kwakua tu hauna madhara.Jamaa nilijua umemuelewa kumbe hukumuelewa. Alichoandika ni kuwa hakuna mpira wa uchawi, kama unajua unajua na kama hujui hujui tu. Uchawi hauleti mafanikio kwenye mpira. Hivyo kinachofanyika na Yanga sio kutokana na uchawi bali ni uwezo na ubora wao. Kama unalikataa hilo basi njoo utoe uthibitisho wa timu zilizowahi kufanya vizuri kwenye mashindano ya kimataifa kutokana na kuwa vizuri kwenye uchawi.
Azam alipofungwa 4 na Simba naye alipofungwa haikuwa halaliSimba ikikufunga we mwenyewe unaridhika umefungwa kihalali ila siyo yanga we si unaona jana Ken gold wamenyimwa goli halali ili yanga ashinde ila ilitakiwa iwe draw ya 1-1
Zuga tu hiyo anaifanya.Hapana, Feisal baada ya mechi alikua ana lalamika na refa Kheri sasi kwa uchungu mkubwa.
Goli la kwanza bado sijaweza kulithibitisha kama sio halali, ila lile goli la pili ni clear offsideGoli la kwanza ni offside ya wazi kabisa!
Ujinga kama hauna madhara ina maana yule anayefanya ujinga anajisumbua na kujipotezea pesa na muda hivyo kumpambania mjinga ni kujisumbua. Labda iwe inamkera mtu kwavile una mdhuru.Nimemuelewa sana ila hatuwezi kuacha kuusema ujinga eti kwakua tu hauna madhara.
Umeangalia marudio vizuri lakini?Goli la kwanza ni offside ya wazi kabisa!
Hapana, wachezaji wengi wa Azam refa aliwa vunja Moyo Sana, Kuna muda walipata in direct kick waka weka mpira Nchini na ku uanza faster, Refa aka zuia shambulizi lao eti wasubiri Simba wawekee ukuta.Zuga tu hiyo anaifanya.
Sisi tunamuangalia sura yake alipokuwa dimbani. Feisal akiwa anedhamiria jambo huwa kuna mishipa fulani usoni kwake inavimba na anaachama mdomo