FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

Alafu hii ndio kitu nashindwaga kuelewa...waafrica sie kuomba kwingi lakini wadhunhawanaga hayo mambo na kipigo wanatupa
Au mungu wao ni special zaidi🤔🤔🤔🤔
Wanaamini sana ushirikina na ndio maana wanaleta hizi mambo.

Hata sababu ya kuleta mechi huku Zanzibar yaweza ikawa ni mapendekezo ya mganga.
 
Gamondi huko aliko kiwewe. Itabidi aanze kuhudhuria mechi zetu kama mwaka juzi ajifunza mpira .
Gamondi alishacheza na Al Ahly, Belouizdad, Mamelodi ambazo zilikuwa top class kuliko Simba ndio awe na kiwewe na Simba leo hii kwa lipi? Mmecheza na Azam ambayo Yanga kaichapa goli 4 na katika michezo yao imeshinda mechi moja tu juzi.
 
Wanaamini sana ushirikina na ndio maana wanaleta hizi mambo.

Hata sababu ya kuleta mechi huku Zanzibar yaweza ikawa ni mapendekezo ya mganga.
Waafrica kuloga tuu kushinda kombe la dunia aahhh
 
Pongezi zenu wanasimba kwa ushindi wa mechi ya leo dhidi ya Azam
 
Wachambuzi wa Azam TV wanaitetea Azam FC sanaa 😂🤣 any way kibarua kisiote nyasi

Offside zilikuwepo.. ziko wapi? jiongeze mwenyewe
 
Kwenye ligi? Tulia usome nilichoandika.
Mkifungwa msilete tu vizingizio maana hata kabla ya tarehe 8 mlijitapa mtawapima umri wachezaji wa Yanga ila mkapigwa goli la playstation watu hao wanashangilia tu
 
Sasa ambitions za kengold na azam ni sawa wewe?
Simba atafungwa tuu...wee tulia simba akishaanza kwenda mkoani huko ndio utajua simba imara au mdebwedo
Who cares about Kengold ambitions? Yanga waliwafunga moja kwa shida.

Hakuna cha mkoani msimu huu. Kuna vikosi viwili vizuri kabisa vijana wadogo usitegemee uchovu kuiathiri timu kiasi kikubwa.

Wenye kufahamu mpira watajuwa nachosema.

Uzima ukiwepo, tuendelee kukutana hapa sports forum.
 
Ila waamuzi wa leo Ingekua mimi ningewafukuz wote

Nikama hawajui kazi yao
 
Gamondi alishacheza na Al Ahly, Belouizdad, Mamelodi ambazo zilikuwa top class kuliko Simba ndio awe na kiwewe na Simba leo hii kwa lipi? Mmecheza na Azam ambayo Yanga kaichapa goli 4 na katika michezo yao imeshinda mechi moja tu juzi.
Top class kuliko Simba Kwa kigezo gani?
 
Back
Top Bottom