FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

Manji aliwahi kutoa fungu kwa ajili ya kuwapa waganga ili wafanikishe ushindi kwenye friendly match dhidi ya Brazil

Tulifungwa 6 na mengine tulibisha
Kama hujui boli hujui tuu hamna cha mganga.
Vunja nazi zote lakini bottom line timu uwe nayo kwanza
 
Ila waamuzi wa leo Ingekua mimi ningewafukuz wote

Nikama hawajui kazi yao
Kazi yao ya kuibeba Simba wameifanya vizuri.
Sisi uto hatuwataki watuchezeshe!!
Kocha wa Azam kamaliza kazi kasema wazi magoli ya offside yamewanyonga!
 
Who cares about Kengold ambitions? Yanga waliwafunga moja kwa shida.

Hakuna cha mkoani msimu huu. Kuna vikosi viwili vizuri kabisa vijana wadogo usitegemee uchovu kuiathiri timu kiasi kikubwa.

Wenye kufahamu mpira watajuwa nachosema.

Uzima ukiwepo, tuendelee kukutana hapa sports forum.
Yanga kachukuwa point tatu....hilo ndio lengo.
Kuna siku unacheza vibaya lakini unashinda.

Haya bana tutaona yetu macho
 
Kocha wa Azam hajui hata Kujieleza...!

Wamemtoa Wapi ? Atafika Krismas huyu kweli?
 
Top class kuliko Simba Kwa kigezo gani?
1) wachezaji wa gharama kubwa ( bajeti kubwa)
2) kwenye rank wapo juu ya Simba
3) kuwa bora na kiwango kikubwa kuliko Simba.

Hivyo ndio vigezo, njoo upinge hivyo vigezo kwa uthibitisho
 
Kama hujui boli hujui tuu hamna cha mganga.
Vunja nazi zote lakini bottom line timu uwe nayo kwanza
Hilo swala huwezi kuwaambia Yanga wakakuelewa.

Siku ya Derby wao wana mlango wao wanaoujua.

Wako radhi kulipa faini lakini huo mlango wautumie.

Na naskia TFF baada ha kuona hivyo wakaongeza bei kwenye faini lakini kwa jinsi inavyoonekana ni kama Yanga wamejiandaa kuikabili hiyo gharama.
 
Jamaa nilijua umemuelewa kumbe hukumuelewa. Alichoandika ni kuwa hakuna mpira wa uchawi, kama unajua unajua na kama hujui hujui tu. Uchawi hauleti mafanikio kwenye mpira. Hivyo kinachofanyika na Yanga sio kutokana na uchawi bali ni uwezo na ubora wao. Kama unalikataa hilo basi njoo utoe uthibitisho wa timu zilizowahi kufanya vizuri kwenye mashindano ya kimataifa kutokana na kuwa vizuri kwenye uchawi.
 
1) wachezaji wa gharama kubwa ( bajeti kubwa)
2) kwenye rank wapo juu ya Simba
3) kuwa bora na kiwango kikubwa kuliko Simba.

Hivyo ndio vigezo, njoo upinge hivyo vigezo kwa uthibitisho
Gharama ya mchezaji haifanyi timu iwe top class.

Kwenye rank kati ya Yanga na Simba ipi ipo juu? Kwa mtazamo wako huu hoja yako kuwa Yanga ni bora kwa kuwa waliwafunga Azam inakufa kifo cha asili

Kiwango na ubora si jambo la kudumu. Jambo la kudumu kwenye Mpira ni daraja.
 
Back
Top Bottom