FT: Azam FC 1-0 Simba SC | NBC League, 28/10/2022

Daaah huu mpira wa leo hata siuelewi
 
Dakika 76'

Azam 1-0 Simba

Lyanga

Lyanga
Dube
Zaiiiiiiiid

Kaunyanyua juu zaidi
Goaaal kick
 
Utopolo roho nyeupe
ulishangilia draw,
ukamshangilia kmc,
ukasahau una timu mbovu

umepigiwa mpira mkubwa, umepigwa mpaka sasa

huna plani za kukomboa

utaeleza makundi ulifikaje, mbona uwezo mdg mnoooo
 
ulishangilia draw,
ukamshangilia kmc,
ukasahau una timu mbovu

umepigiwa mpira mkubwa, umepigwa mpaka sasa

huna plani za kukomboa

utaeleza makundi ulifikaje, mbona uwezo mdg mnoooo
Mpira haujaisha. Bakiza maneno
 
Kiko wapi jeuri yenuu , Basi atakuja popoma mmoja anajiita genta atamalumu matola
 
Naona mpaka mshika kibendera anawabeba sio offside ile.

Kuna mtu anaitwa Ndala anawavuruga atakavyo. Huyo alitakiwa aje Simba ila Yusuph akatibua akamleta Azam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…