FT: Azam FC 2-1 Dar kenema (Agg. 3-3) Pnt (3-4), CAFCC, Chamazi complex, 25.08.2023, Azam waaga mashindano

Beberu

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
4,548
Reaction score
9,740
Match hii itachezwa leo saa 1 jioni kwa saa za africa mashiriki au 1600 hrs GMT kati ya Azam Fc Vs Bahir Dar Kenema, katika kusaka nafasi ya kufuzu hatua ya kwanza ya kombe la shirikisho barani Africa maarafu CAFCC,

Watanzania wote wanaiombea Azam ishinde na kuzidi kuipeperusha vyema bendera ya ligi kuu ya NBC,

Ikumbukwe kuwa Azam wapo nyuma kwa bao 2-1 , hivyo wanahitajika kushinda goal 1-0 ili kuweza kufuzu hatua inayofuata,

Kwa wale mliopo Dar Es Salaam, match hii ni bure kabisa, kikubwa uwe na jersey ya Azam Fc ya msimu wowote ule na uwe na mzuka sana wa kushangilia

Ungana nami hapa kwa ajiili ya update za mchezo huu muhimu kwa taifa letu na team yetu pendwa ya Azam FC
20230825_140916.jpg

Kikosi cha team bora Azam Fc kimeshatoka na hiki hapa
20230825_184143.jpg

01' Azam wanapata goal la mapema
Azam 1-0 Bahir kenema

10' Dubeeeeeeeeee, kijana kutoka Bulawayo, anawapatia Azam Fc bao la pili hapa na kufanya matokeo kuwa 2-0, kwenye Agregate ni 3-2

18' Bahir Dar wanapata Goal,
Matokeo ni 2-1, Tunaanza upyaaaaaaaaaaaaa
 
Match hii itachezwa leo saa 1 jioni kwa saa za africa mashiriki au 1600 hrs GMT kati ya Azam Fc Vs Bahir Dar Kenema, katika kusaka nafasi ya kufuzu hatua ya kwanza ya kombe la shirikisho barani Africa maarafu CAFCC...
All the best
 
Azam wasiwaruhusu wale jamaa wakacheza mpira km kule Ethiopia, Game ya kwanza, wataumbuka
 
Match hii itachezwa leo saa 1 jioni kwa saa za africa mashiriki au 1600 hrs GMT kati ya Azam Fc Vs Bahir Dar Kenema, katika kusaka nafasi ya kufuzu hatua ya kwanza ya kombe la shirikisho barani Africa maarafu CAFCC,

Watanzania wote wanaiombea Azam ishinde na kuzidi kuipeperusha vyema bendera ya ligi kuu ya NBC,

Ikumbukwe kuwa Azam wapo nyuma kwa bao 2-1 , hivyo wanahitajika kushinda goal 1-0 ili kuweza kufuzu hatua inayofuata,

Kwa wale mliopo Dar Es Salaam, match hii ni bure kabisa, kikubwa uwe na jersey ya Azam Fc ya msimu wowote ule na uwe na mzuka sana wa kushangilia

Ungana nami hapa kwa ajiili ya update za mchezo huu muhimu kwa taifa letu na team yetu pendwa ya Azam FC
View attachment 2728209
Washinde watupe heshima Tanganyika
 
Back
Top Bottom