FT: Azam FC 2-1 Dar kenema (Agg. 3-3) Pnt (3-4), CAFCC, Chamazi complex, 25.08.2023, Azam waaga mashindano

FT: Azam FC 2-1 Dar kenema (Agg. 3-3) Pnt (3-4), CAFCC, Chamazi complex, 25.08.2023, Azam waaga mashindano

Azam, Uto na Singida BS wana wajibu wa kulinda heshima ya Mnyama Simba Sc. Tz ni nchi inayotoka timu #7 kwa ubora
 
Najaribu kuwatafuta kupitia huu uzi, mashabiki wa Azam siwaoni hapa, uzi umejaa mashabiki wa Simba na Uto, why?
 
Kila la heri kwa Azam fc
Match hii itachezwa leo saa 1 jioni kwa saa za africa mashiriki au 1600 hrs GMT kati ya Azam Fc Vs Bahir Dar Kenema, katika kusaka nafasi ya kufuzu hatua ya kwanza ya kombe la shirikisho barani Africa maarafu CAFCC,

Watanzania wote wanaiombea Azam ishinde na kuzidi kuipeperusha vyema bendera ya ligi kuu ya NBC,

Ikumbukwe kuwa Azam wapo nyuma kwa bao 2-1 , hivyo wanahitajika kushinda goal 1-0 ili kuweza kufuzu hatua inayofuata,

Kwa wale mliopo Dar Es Salaam, match hii ni bure kabisa, kikubwa uwe na jersey ya Azam Fc ya msimu wowote ule na uwe na mzuka sana wa kushangilia

Ungana nami hapa kwa ajiili ya update za mchezo huu muhimu kwa taifa letu na team yetu pendwa ya Azam FC
View attachment 2728209


Kikosi cha team bora Azam Fc kimeshatoka na hiki hapa
View attachment 2728432
 
20230825_184143.jpg
 
Mapema tu Azam wanawapa watanzania wapenda soka furaha...
Azam 1 Dar 0
 
Gooooall
Azam 1-0 Bahir Kenema
 
Back
Top Bottom