Match hii itachezwa leo saa 1 jioni kwa saa za africa mashiriki au 1600 hrs GMT kati ya Azam Fc Vs Bahir Dar Kenema, katika kusaka nafasi ya kufuzu hatua ya kwanza ya kombe la shirikisho barani Africa maarafu CAFCC,
Watanzania wote wanaiombea Azam ishinde na kuzidi kuipeperusha vyema bendera ya ligi kuu ya NBC,
Ikumbukwe kuwa Azam wapo nyuma kwa bao 2-1 , hivyo wanahitajika kushinda goal 1-0 ili kuweza kufuzu hatua inayofuata,
Kwa wale mliopo Dar Es Salaam, match hii ni bure kabisa, kikubwa uwe na jersey ya Azam Fc ya msimu wowote ule na uwe na mzuka sana wa kushangilia
Ungana nami hapa kwa ajiili ya update za mchezo huu muhimu kwa taifa letu na team yetu pendwa ya Azam FC
View attachment 2728209
Kikosi cha team bora Azam Fc kimeshatoka na hiki hapa
View attachment 2728432