Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejua hela sio mpira..😅Tia maji tia maji...
Kwaiyo ww ukajua mpira ni hela auNimejua hela sio mpira..😅
Bado hamjasema,mtasema tuu. Msimamo ndio kama ulivyo,hao wanagombania nafasi ya piliTimu zote zinazocheza hapa zinagombania nafasi ya tatu
Yanga kwa kikosi chake kile ni ngumu sana kumtoa nafasi ya pili
Yupo hapo kwa muda tu hiyo nafasi ina mwenyeweSio ya pili sema ya kwanza
Hapana ni mng'ombeng'ombe.Kwaiyo ww ukajua mpira ni hela au
Ila Arajiga ndio awe anachezesha match zenu zoteYupo hapo kwa muda tu hiyo nafasi ina mwenyewe
Mwenyewe mtagaji tu huyoYupo hapo kwa muda tu hiyo nafasi ina mwenyewe