FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

92' Azam wana umiliki...wana counter attack
Navyojua mimi mpira ni dakika 90

Sasa hiyo 92 ni mchezo gani unaochezeka hapo kwa Mkapa?

Wanatudanganya wanacheza mpira kumbe wana mambo yao?
 
Dkk 7 wanacheza wote, msijali 😂
Chura ni lazima arudi matopeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…