FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli nilikua buzzy mie
Wacha nikubali,maana falsafa zinasema "ni ngumu ukashindana na mwanamke katika utetezi na ukamshinda".
Ila hiyo DP mkuu ni 🔥🔥🔥.
 
Wacha nikubali,maana falsafa zinasema "ni ngumu ukashindana na mwanamke katika utetezi na ukamshinda".
Ila hiyo DP mkuu ni [emoji91][emoji91][emoji91].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noumaa sana
 
Yanga bila Aucho hamna kitu!
Halafu kuidharau Azam ni kosa!

Mwisho , mbinu ya Azam kushinda Mechi kwa kucheza rafu mwanzo mwisho na kudhamiria kuvunja miguu ya wachezaji tegemeo wa Yanga kama Pakome, Mudathir, Baka Ilianzia ile mechi Akaminko Masifa kumvunja Skudu. Bila rafu kubwa Azam haina ubavu kwa Yanga. Yanga waamke katika hilo otherwise ushindi dhidi ya Azam utabaki kwenye makaratasi milele. Wanachojua ni kuhakikisha wanavunja wachezaji na watoke nje ili washinde!
 
Hii ndio mechi iliyowapa Simba wakati mgumu mpaka leo kugombea nafasi ya pili. Ila cha ajabu walishangilia sana Yanga kufungwa kuliko kuwaza ushindi huu kwa Azam una madhara makubwa sana kwao katika hatima yao.
 
Back
Top Bottom