The Conscious
JF-Expert Member
- Mar 18, 2021
- 740
- 1,218
Ni kweli mkuu lile goli lilikuwa kali sana ila alivyokuja kuomba radhi akaua vibe kabisa yanSijapenda Fei Toto alivyoomba radhi..angeshangilia tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli mkuu lile goli lilikuwa kali sana ila alivyokuja kuomba radhi akaua vibe kabisa yanSijapenda Fei Toto alivyoomba radhi..angeshangilia tu
Mi napenda kula tuu. Kuliwa hapanaUsiogope mkuu🤣🤣🤣 inafungwa Barcelona sembuse Yanga?
Kama we shabiki wa mpira huwezi stuka kwa matokeo hata kidocho.
Azam mzunguko wa kwanza si tuliwafunga 3-2?
Asa we unataka ushinde kila mechi umekua naniiii!?
Cha muhimu bado tupo kileleni mwa ligi na ligi ni yetu.
Hapana sijamaanisha hivyo kaka.Mkuu kwa mujibu wenu yanga mpira ni magoli kwamba mradi timu imefungwa basi hiyo ni mbovu hakuna mjadala, hao kina ihefu na kagera sugar sie tuliwafunga na azam tulitoa draw, kwani walivyocheza na sie ni tofauti na walivyocheza na nyie au
Mla vyake huliwa arbaab😂😂😂Mi napenda kula tuu. Kuliwa hapana
Baada ya hapa sikumbuki kama niliona comment yako tenajidanganye
azam akitulia anapigwa 3 akizembea anakula 5
Waje tu na timu pamoja na vifaa vya kushangilia watumiaji watatukuta huku huku.Mamelod wasije na mashabiki, sisi tupo
itoke wapi, kile kipigo kimetuwezaBaada ya hapa sikumbuki kama niliona comment yako tena
Vigezo vya kuwa timu bora ni vipi mkuu, timu mbovu inaweza kweli kufika hatua ya robo fainali ya makundi klabu bingwa afrika, yani mfano nyie hiyo hatua mliyofika mtu aje awaambie kwamba timu yenu ni mbovu mtamuelewa kweli mkuuHapana sijamaanisha hivyo kaka.
Embu rejelea kunisoma tena utaelewa nini nalenga.
Simba mnatakiwa muimarishe kikosi hata uchezaji wenu ni wa papatupapatu kaka.
AbdelHak Benchika anawabeba kimbinu ila wachezaji hawakidhi ubora wa kocha.
Hata ushindi wenu wa kulazimisha sana.
Simba isiporekebisha kikosi na kufanya usajili mzuri Wallahi kaka nimefunga nipo palee hamtoboi.
Mkuu kuna vitu viwili vimewabeba mpaka ninyi kufika pale.Vigezo vya kuwa timu bora ni vipi mkuu, timu mbovu inaweza kweli kufika hatua ya robo fainali ya makundi klabu bingwa afrika, yani mfano nyie hiyo hatua mliyofika mtu aje awaambie kwamba timu yenu ni mbovu mtamuelewa kweli mkuu
Jamaa unaandika maneno mengi lakini pumba tupu. Sasa maana ya timu ni niniPili mshukuruni AbdelHaki Benchika.
Mkuu uliyoyaandika sidhani kama yanadhihirisha kuwa simba ni timu mbovu, ndio maana nikakuuliza vigezo vya timu kuwa mbovu ni vipi unasema tunabebwa na kocha sasa kocha naye si ni sehemu ya timu au, uliyoyaandika ni faults ndogo za timu ambazo zinatokana na form ya wachezaji tu ila si kwamba simba ni mbovu mkuuMkuu kuna vitu viwili vimewabeba mpaka ninyi kufika pale.
Kwanza mshukuru kundi mlilokuwepo mtu mgumu alikua Wydad japo nae wydad anapitia transition period kama Bayern Munich maana hata ligi yake haongozi sijui kwasasa.
Pili mshukuruni AbdelHaki Benchika.
Mifumo yake inawabeba sana aisee.
Embu ichukue Simba hii ifananishe na ile Simba inaongoza kundi Al Ahly akiwa ndani ya kundi kesha ipambanishe na hii.
Simba ile ilikua creative katika uchezaji na ilikua imekamilika kiufundi kila idara.
Simba ya sasa forward zako Jobe na Freddy utafika wapi kaka??
Wachezaji wengi washanoki hawa kina Kapombe,Chama,Tshabalala Mohammed,Saido Ntibazonkiza n.k n.k
Pia hamuna mbadala wa hao watu katika upande wa viungo na wing back ambao wana quality sawa na hao wachezaji.
Mathalan Yanga akiumia Lomalissa namuingiza Kibabage kama mbadala ambae anafikia kwa kiasi fulani kiwango cha Lomalissa.
We aumie Kapombe utamuweka nani mwenye quality inayomfikia Kapombe??
Kama hamtafumua kikosi na mkakiunda kipya na kutanua kikosi kaka tegemeeni BENCHIKA KUFUKUZWA MCHANA KWEUPEEE.
Wachezaji wamechokaa hawa.
Shida hautaki kuukubali ukweli.Jamaa unaandika maneno mengi lakini pumba tupu. Sasa maana ya timu ni nini
Mkuu tuseme umepatia.Mkuu uliyoyaandika sidhani kama yanadhihirisha kuwa simba ni timu mbovu, ndio maana nikakuuliza vigezo vya timu kuwa mbovu ni vipi unasema tunabebwa na kocha sasa kocha naye si ni sehemu ya timu au, uliyoyaandika ni faults ndogo za timu ambazo zinatokana na form ya wachezaji tu ila si kwamba simba ni mbovu mkuu
Ndio maana nimemuuliza nini maana ya timu?Mkuu uliyoyaandika sidhani kama yanadhihirisha kuwa simba ni timu mbovu, ndio maana nikakuuliza vigezo vya timu kuwa mbovu ni vipi unasema tunabebwa na kocha sasa kocha naye si ni sehemu ya timu au, uliyoyaandika ni faults ndogo za timu ambazo zinatokana na form ya wachezaji tu ila si kwamba simba ni mbovu mkuu
Aisee! Ndo ivo tena Mtani.
Acha tugange ya Mamelody Sa.
Basi mkuu simba sio mbovu simba iko vizuri.Ndio maana nimemuuliza nini maana ya timu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema kweliYule popote kambi hata hajui idadi ya wachezaji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli nilikua buzzy mieAaaah wapii huna lolote kwani sijaona comments zako baada ya comment yangu!?
We sema ulikua unavizia matokeo tuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapiiiiiii mtaniiiiiiiiiiiiiiiiAisee! Ndo ivo tena Mtani.
Acha tugange ya Mamelody Sa.