FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hapo badoo
20240318_094807.jpg

🤣😂
 
Nimeamkiaaa Chamaziiiiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwemaaa?
Kwema naona unafurahiiii kama nini.
Na wewe mjanja duuuh!!
Yani umengojea mechi iishe matokeo yajulikane ndio ujibu.
😳😳😳.
 
Wa kimya kimya😂😂.
Naogopa hiz public disapointments
Usiogope mkuu🤣🤣🤣 inafungwa Barcelona sembuse Yanga?
Kama we shabiki wa mpira huwezi stuka kwa matokeo hata kidocho.
Azam mzunguko wa kwanza si tuliwafunga 3-2?
Asa we unataka ushinde kila mechi umekua naniiii!?
Cha muhimu bado tupo kileleni mwa ligi na ligi ni yetu.
 
Sawa mwananchi dube
 

Attachments

  • 85299AE9-EE6A-4C22-9D4C-669B696670C1.jpeg
    85299AE9-EE6A-4C22-9D4C-669B696670C1.jpeg
    1.2 MB · Views: 2
Back
Top Bottom