3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Hujuma hizi90' Azam wanapiga one two za hatari hapa ..Sidibe anachezewa rafu
Mudathir...yellow card
7' dk za nyongeza
Mistake unacheza namba tisa watatu wote style yao ya uchezaji ni moja.Hii mechi tumechemka wenyewe.Joseph Guede naye hana tofauti na Hafiz Konkoni!
Huruma ya mwamuziHujuma hizi
94 dakika?94' mwamnyeto anapiga kichwa hapa....hauna madhara unatoka nje