FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

Feisal Salum Toto " Zanzibar Finest "

Last born wa taifa kutoka Kizimkaz .

Kiungo wa Mali kabisa huyu mabao 13 ya NBC premier League , mnataka nini tena ?

Nae muwekeni kwenye mijadala yenu au kwakuwa ni Mtanzania ?

Dogo analijua boli [emoji1316]
 
Fei yupo vizuri. Simba ikiwezekana tuongee na Azam msimu ujao akae kati pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…