FT || Azam Fed Cup: Yanga S.C 7-0 Rhino Rangers: Uwanja Benjamin Mkapa

Utopolo na ulimbukeni.. hii siyo timu ya kuchezeshea 1st 11.
Metacha mnata
Mwamnyeto
Bacca
Bryson
Mudathir
Mauya
Ambundo
Clement Mzize

Hao ndio 1st 11 ya Yanga [emoji848][emoji848]?

Yanga ni kubwa sana Kwa timu za nchini Tanzania [emoji1241] kama unabisha sema nikupe takwimu, halafu timu yako ndio timu kibonde zaidi Kwa Yanga Sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tafadhari tambua kwamba Yanga ndio timu yenye Kikosi kipana kuliko timu yoyote ile Tz.

Kikosi kamili ambacho hakikuanza.

Diarra
Djuma
Lomalisa
Job
Mammodou
Sureboy
Aucho
Moloko
Morrison
Fei Toto
Mayele
Na Bado Timu ikaweza kuja na Kikosi kingine Hatari ambacho kimejitosheleza na Bado kitakupa ushindi

Metacha
Kibwana
Bryson
Mwamnyeto
Bacca
Mudathir
Bangala
Ambundo
Farid
Aziz Ki
Musonda
 
Na Bado Timu ikaweza kuja na Kikosi kingine Hatari ambacho kimejitosheleza na Bado kitakupa ushindi

Metacha
Kibwana
Bryson
Mwamnyeto
Bacca
Mudathir
Bangala
Ambundo
Farid
Aziz Ki
Musonda
Pamoja na ivyo vikosi viwili juu Bado ina wachezaji Hatari wa akiba

Msheri
Mauya
Clement
Kisinda
Bigirimana
Ngushi
Nkane
 
Na Bado Timu ikaweza kuja na Kikosi kingine Hatari ambacho kimejitosheleza na Bado kitakupa ushindi

Metacha
Kibwana
Bryson
Mwamnyeto
Bacca
Mudathir
Bangala
Ambundo
Farid
Aziz Ki
Musonda
Mikia watachagua kikosi kipi wacheze nacho wasije sema tunawaonea,tutawapa uhuru wa kuchagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…