Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Ndiyo lile goli ulilosema la penati au?Goli la saba huko Kwa [emoji617][emoji617]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo lile goli ulilosema la penati au?Goli la saba huko Kwa [emoji617][emoji617]
Leta timu yako ukione cha moto'Mochwari' imeingiliwa Na 'nyoka nyoka'....!
Metacha mnataUtopolo na ulimbukeni.. hii siyo timu ya kuchezeshea 1st 11.
Metacha, Mwamnyeto, Bryson, Bacca, Ambundo , Clement, Musond, Mauya ni first eleven hio?Utopolo na ulimbukeni.. hii siyo timu ya kuchezeshea 1st 11.
Hapana Yanga huwa hatufungi magoli ya penati mkuu.. Goli zote safi za open play sio kama wale wa goli za penati na redi kadi za mchongo [emoji23][emoji23][emoji23]
Tafadhari tambua kwamba Yanga ndio timu yenye Kikosi kipana kuliko timu yoyote ile Tz.Utopolo na ulimbukeni.. hii siyo timu ya kuchezeshea 1st 11.
Fanya updated results mapema kaka ili Makolokolo wawe na akili za kukimbia huu uzi haraka iwezekanavyo [emoji4]Umeona na wewe mkuu[emoji848]
Na Bado Timu ikaweza kuja na Kikosi kingine Hatari ambacho kimejitosheleza na Bado kitakupa ushindiTafadhari tambua kwamba Yanga ndio timu yenye Kikosi kipana kuliko timu yoyote ile Tz.
Kikosi kamili ambacho hakikuanza.
Diarra
Djuma
Lomalisa
Job
Mammodou
Sureboy
Aucho
Moloko
Morrison
Fei Toto
Mayele
Matokeo hawezi update mkuu, ilo ni jukumu la Moderator ila wa vile ni Wana[emoji881] ndio maana unaona wanasuasua maana matokeo haya sio rafiki kwaoFanya updated results mapema kaka ili Makolokolo wawe na akili za kukimbia huu uzi haraka iwezekanavyo [emoji4]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Pamoja na ivyo vikosi viwili juu Bado ina wachezaji Hatari wa akibaNa Bado Timu ikaweza kuja na Kikosi kingine Hatari ambacho kimejitosheleza na Bado kitakupa ushindi
Metacha
Kibwana
Bryson
Mwamnyeto
Bacca
Mudathir
Bangala
Ambundo
Farid
Aziz Ki
Musonda
hii 1st 11 umeipatajeUtopolo na ulimbukeni.. hii siyo timu ya kuchezeshea 1st 11.
Chezeni na Al Hilal, ipo nchinihii 1st 11 umeipataje
yaani hakuna
diara
job
mayele
aucho
lomalisa kaingia dk ya mwisho
bado unawaza ilikuwa kikosi cha kwanza
Tunawataka Simba mkuu maana ndio wapo no 10 Afrika hao Al hilal wapo no za mbali hukoChezeni na Al Hilal, ipo nchini
Umemsahau Morrisonhii 1st 11 umeipataje
yaani hakuna
diara
job
mayele
aucho
lomalisa kaingia dk ya mwisho
bado unawaza ilikuwa kikosi cha kwanza
Kwanini usijitaje wewe uwasukumizie wenzako??tunakutaka ww kolowizardChezeni na Al Hilal, ipo nchini
Mikia watachagua kikosi kipi wacheze nacho wasije sema tunawaonea,tutawapa uhuru wa kuchaguaNa Bado Timu ikaweza kuja na Kikosi kingine Hatari ambacho kimejitosheleza na Bado kitakupa ushindi
Metacha
Kibwana
Bryson
Mwamnyeto
Bacca
Mudathir
Bangala
Ambundo
Farid
Aziz Ki
Musonda