changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Azam wamerudia zaidi ya mara mbili na kugandisha tukio. Na hakukuwa na offside..Hatimaye Musonda Azawadiwa La Kuotea....!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azam wamerudia zaidi ya mara mbili na kugandisha tukio. Na hakukuwa na offside..Hatimaye Musonda Azawadiwa La Kuotea....!
Achana na huyo mkia mzeeAzam wamerudia zaidi ya mara mbili na kugandisha tukio. Na hakukuwa na offside..
Tunalitoa hiloHatimaye Musonda Azawadiwa La Kuotea....!
Ngapi ngapi kwani? maana naskia kelele kibao kila kona ya mtaa[emoji617][emoji617] Leo ni [emoji91][emoji91]
6-0 Dak ya 50Ngapi ngapi kwani? maana naskia kelele kibao kila kona ya mtaa
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Basi sawa, naomba usisahau kui-update matokeo kwenye kichwa cha habari Chifu.6-0 Dak ya 50
Mbonaa wewe maiti ebu jichunguze zombiiiiiMaiti na marehemu wamekutana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tayari inasoma 6 mkuuBasi sawa, naomba usisahau kui-update matokeo kwenye kichwa cha habari Chifu.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kwani Marefa wa Bongo huwajui hadi wawe wamebadilika siku hizi?Penati.
Refa alitakiwa aache maana goli lilishaingia
Wiki bila kadi nyekundu? Labda bahasha maana sisi Makolokolo/Mbumbumbu/Makelele/Malalamiko/Kolowizards/Mikia/Ngada ndiyo timu yenye strikers wakali kuliko timu yoyote ile hapa Bongo [emoji38]Wiki tayari
Yaani Faru tu mmetoa mizinga yote. Utopolo hamtaniwi?Ni Jumapili nyingine tena tunakutana katika mpambano wa kukata na shoka ambapo mabingwa watetezi wa Azam Federation Cup, Young Africans wanashuka uwanja[emoji2522] wa Benjamin Mkapa kuwakaribisha Rhino Rangers kutoka Tabora.
Ikumbubwe mechi hii ni ya mtoano kuelekea 16 Bora na mshindi lazima apatikane.
Je ni Yanga [emoji617] au Rhino[emoji1661] Rangers ndio wataibuka washindi baada ya dakika 90?
Muda wowote mpira utaanza hapa katika dimba[emoji2522] la mkapa
"""""""""'''''''''
00' Kipyenga kimepulizwa tayari kushiria kuanza kwa mtanange huu
02' Yanga [emoji617] wameanza kulisakama mapema sana lango la Rhino Rangers mashambulizi makali yanaokolewa na golikipa wa Rhino
07' Gooooal[emoji460] Dickson Ambundo anawatanguliza Wananchi mapema kabisa
16" Gooooal[emoji460][emoji460] Kennedy Musonda anaweka kambani goli la pili kwa Yanga
19' Aziz Kiiiiiiiiii[emoji460][emoji460][emoji460] anaweka goli la 3 Kwa Yanga
23' Gooooal [emoji460][emoji460][emoji460][emoji460] Farid Mussa anafunga goli la 4 Kwa Yanga
27' Goooal[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ni goli la 5 Kwa Wananchi[emoji617]. Mfungaji ni Yanick Bangala
45+2' Dakika mbili za nyongeza Yanga bado wanalisakama kama nyuki lango la Rhino Rangers
Naam mpira ni mapumziko Wananchi [emoji617] wanakwenda vyumbani wakiwa mbele Kwa magoli ma 5 kwa bila
Kipindi cha pili kimeanza
45' Goooal[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460] Kennedy Musonda anashindilia msumari wa 6 kwenye jeneza la Rhino Rangers
View attachment 2499440
Hamna kadi sema madogo waoga sana, angalau kipindi cha pili wamejiamini
...😂😂😂Duuh tumepiga Bomu mochwari[emoji23][emoji23]