FT: Azam Federation Cup: Simba 4-0 African Sports : 02/03/2023

FT: Azam Federation Cup: Simba 4-0 African Sports : 02/03/2023

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
48,055
Reaction score
116,512
Mechi inaanza muda mfupi ujao

simbasctanzania-20230302-0001.jpg

Mchezo umeanza
5' Simba wanamiliki mpira na kufika mara kadhaa langoni kwa wapinzani
7' Baleke anakosa nafasi akiwa karibu na lango
25' Mwenda anampiga kazu kipa wa African Sports lakini hakuna wa kuuweka mpira wavuni
35' Goooo
Baleke anaipatia Simba goli la kwanza kwa pasi kutoka kwa Sakho
45' Zinaongezwa dakika 2 za nyongeza

MAPUMZIKO

Mchezo umeanza
46' Simba wanapata kona, inapigwa
Goooooooooooo
Kennedy Juma anafunga kwa shuti kali baada ya mpira kuambaa ambaa
 
Isra anachezewa foul dakika ya 1 ya mchezo

Simba inapata freekick
 
Moses Scars Phiri nyuma ya mpira tayari kuucheza mpira wa freekick
 
Jean Baleke mpira wake unadhibitiwa na golikipa hapa wa African Sports
 
Back
Top Bottom