FT: Azam Federation Cup: Simba 4-0 African Sports : 02/03/2023

FT: Azam Federation Cup: Simba 4-0 African Sports : 02/03/2023

Huyu Robertinho atafutiwe tablet ya kuchorea maelekezo. Watu kama Mkude sidhani kama wanamuelewa kirahisi. Naona anatoa maelekezo benchi zima kina Chama wanacheka.
 
Malizana na hao watoto Simba ili tuendelee na ratiba za kikubwa .
 
Malizana na hao watoto Simba ili tuendelee na ratiba za kikubwa .
Lengo ni kuwinda tembo, ila hivi visungura vinavyokatisha njiani hatuwezi kuviacha

Tunachinja tunavila ili tupate nguvu ya kuwinda tembo
 
Cross ya Israel mwenda ilikosa mmaliziaji
 
Back
Top Bottom