FT: Azam Federation Cup: Simba 4-0 African Sports : 02/03/2023

FT: Azam Federation Cup: Simba 4-0 African Sports : 02/03/2023

Tukimbize huku, maana kule kwingine ..
 
Moses Scars Phiri anapiga msumeno hapa golikipa anakaa imara
 
Mnamuona Phiri. Mashoot yake yote yako on target
Mechii za ligii kuu na kimataifa zilizompita halafu tukapata matokeo mabovu naamini angekuwepo angeweza fanya kitu
 
Sakho hatumkatazi kufanya vile, ila ingekuwa fresh kama tunaongoza hata 3
 
Jean Baleke anapachika bao la kwanza hapa baada ya kupokea mpira wa mwisho kutoka kwa pape Osmane Sakho
 
Back
Top Bottom