FT: Azam Federation Cup: Simba 4-0 African Sports : 02/03/2023

Yan timu iko championship nafasi ya 9 inawahenyesha!!!!dunduka hamna timu aisee,hawa watoto wangetana hata na namungo mpm sasa wangekua washakula 5.
 
Uwanja umebana hauruhusu wachezaji kufunguka
 
Yan timu iko championship nafasi ya 9 inawahenyesha!!!!dunduka hamna timu aisee,hawa watoto wangetana hata na namungo mpm sasa wangekua washakula 5.

Hujui Mpira na umekaa kishabiki shabiki tu, Kumbuka hizi timu ndogo huwa zinakamia sana timu kubwa , hata Uingereza Man City anaweza akafungwa hata Norwich
 
Back
Top Bottom