FT: Azam Federation Cup: Simba 4-0 African Sports : 02/03/2023

FT: Azam Federation Cup: Simba 4-0 African Sports : 02/03/2023

Azam Bhn Yani Position Ya Camera Ni Hovyo Kweli, Sijui Hii Mechi Wanairekodi Nyuma Ya Mabenchi Ya Ufundi.
 
Baleke mshamba sana,anashangilia kama ndio anachukua kombe leo,wenzake mpk wanamshangaa,au hakuwepo kambini wakati wenzake wanapewa maelekezo?au anaona kakutana na yanga apo?
 
Goli 5 zitafika kweli kwa speed hii?
 
Hili kombe liwe mali ya Simba tu, haitakiwi timu kubwa kama mnyama kumaliza msimu bila kitu mkononi
 
Azam waambiwe hii sio hisani, hii ni biashara.
Naona tunawatreat kama donors, wanavimba mabichwa.
Vihela vyetu wanachukua na mambo ya Kise... wanatuletea.
 
Uko nyuma sana au haukuwa na bando, jezi zilishafika zamani na kuna watu nimewaona wamezivaa hapo uwanjani. Njoo na kingine.
Okay mmetisha nyie wenzetu hamvai jezi mpaka zipigwe pasi tena na dobi wa nje ya nchi.
 
Ila Outtara pasi mkaa zimekuwa nyingi
 
Back
Top Bottom