FT: Azam Federation Cup: Simba 4-0 African Sports : 02/03/2023

FT: Azam Federation Cup: Simba 4-0 African Sports : 02/03/2023

Ninachoona mpaka sasa, Gadiel ajaribiwe katika mechi kubwa kama mbadala wa MH. Malalamiko yangu ya mapungufu au uchezaji wa Zimbwe sijaoni kwa Gadiel.
 
Hujui Mpira na umekaa kishabiki shabiki tu, Kumbuka hizi timu ndogo huwa zinakamia sana timu kubwa , hata Uingereza Man City anaweza akafungwa hata Norwich
Unatoa mifano iliyokufa,usifananishe mazingira ya uwekezaji wa wenzetu na kwetu,usishangae kuambiwa hii timu leo imekosa chakula cha mchana na sasa wako uwanjani,usitafute pa kujificha ww huna timu ova.
 
Huu muonekano wa hii mechi ni mbovu sana basi tu
 
Kipindi cha pili kimeanza

African Sports wamefanya mabadiliko

Simba 1-0 African Sports
 
Sasa hivi tunaacha mabeki nao wafunge, hadi mwisho wa msimu hata Kakolanya atakuwa na goli.
 
Back
Top Bottom