FT: Azam Federation Cup: Simba 4-0 African Sports : 02/03/2023

bd8f3fc1f3f8483d5ed73a3c9d2159f8.jpg
 
Achana na hizo moka za buku buku pale karume

Hizi suti mlishonea pale Tandika karibu na machaka ya kihaya

Suti mlishonea kwa vitambaa vya mashuka

Halafu fundi mwenyewe mlimkopa, mpaka muda huu hamjamlipa pesa yake.

View attachment 2534972
Sisi tunashona hapa hapa na ndio maana mziko hauchelewi, nyie mlolongo mrefu mpaka madobi wanahusika kwenye kunyoosha jezi.
 
Mnashona hapa hapa kwa vitambaa gani?

Na kwanini msilipe madeni yenu?
 
Kibu aingie naye tumemis
 
Achana na hizo moka za buku buku pale karume

Hizi suti mlishonea pale Tandika karibu na machaka ya kihaya

Suti mlishonea kwa vitambaa vya mashuka

Halafu fundi mwenyewe mlimkopa, mpaka muda huu hamjamlipa pesa yake.

View attachment 2534972
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dogo alitaka afunge lingine
 
Dkk 12 hizo waongeze 2 watu tuanze kupika...
 
Back
Top Bottom