FT: Azam Federation Cup: Simba 4-0 African Sports : 02/03/2023

FT: Azam Federation Cup: Simba 4-0 African Sports : 02/03/2023

Zimebakia sekunde mpira uishe
 
Mpira ukiisha bila kufunga bao la 5 mimi nitahesabu kama tumepoteza mechi
 
90+3' Kuelekea kumalizika kwa mchezo wa ASFC

Naaam mpira umekwisha Uwanja wa Uhuru, ambapo Simba SC wanaibuka na ushindi mnono wa kamba Nne kwa bila dhidi ya African Sports

FT: Simba SC 4-0 African Sports
 
Kikosi cha pili cha Simba kimetoa kichapo cha paka mwizi kwa Dogo lake Yanga.
Kesho Kaka mtu anacheza na Tanzania Prisons
 
Kama mmeshindwa kuifunga 5 timu iliyokuja kwa mafungu, tena na malori kwenye nusu final hamtoboi ngooo
 
Utopolo Wanaondoka Vichwa chini hapa..!

Wanalaumu..Kwanini African Sport hawakuwaomba Wao Yanga wawaazime Key Ya mtoni Kwa Aziz Ally.
 
Back
Top Bottom