FT: Azam FF 3 Vs Tanzania Prisons 1 (28/08/2023) Azam Complex Stadium

Mpira mwingi sana umepigwa chamazi Leo, sijui kama safari hii Azam ataukosa ubingwa wa Shirikisho, akina Dube, Chilambo, Diao, Zayd, Nado, Bangala wameupiga mwingi sana, soka la kisasa, soka lenye mipango inayoeleweka, aisee.

Kama ulikosa kuiangalia azam Leo basi umekosa raha duniani.
 
Uwanja haujalogwa na Yanga leo?
 
Mpira mwingi sana umepigwa chamazi Leo, sijui kama safari hii Azam ataukosa ubingwa wa Shirikisho, akina Dube, Chilambo, Diao, Zayd, Nado, Bangala wameupiga mwingi sana, soka la kisasa, soka lenye mipango inayoeleweka, aisee.

Kama ulikosa kuiangalia azam Leo basi umekosa raha duniani.
Jana tulicheza vizuri sanaaa
 
Mchezo wetu unaofuta ni Azam Vs Singida Utd katika uwanja wa Azam Complex,
Kwa sasa tupo kileleni kwenye ligi ya NBCPL

Mkumbuke kuscreen shot.
 
Back
Top Bottom