FT: Azam Sports Federation Cup | Simba SC 4-0 Pamba FC | Uwanja wa Mkapa (Sasa ni Simba Vs Yanga Nusu Fainali)

We unafungwa goli la kwanza mpaka la tatu hustuki tu kuwa hii ni kimbari!!!

Badala mkae chini na mpi0nzani mbagain kujua ulimkosea kitu gani we unatunisha misuli kwa kelele za wapambe
 
Pamba wanakutana na kitu kizito hapaa
 
Kuna mirangi huwa inakera....Sasa hawa Pamba ndo mijezi gani hii...Kijani?
Mlistahili dhahama.!
 
Makolo mmekuja wenyewe gheto la masela lazima mliwe kimasihara
 
Ubaya ubwela the https://jamii.app/JFUserGuide,hii timu ya mauongoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…