Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mjomba na Binamu wamepigika mkwakwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Yaani nilihisi tu maana ile account yake nikiitag siioni atakuwa kachange nn
Mwache apumuwe. Ujinga wake ulimweka pabaya sana. Amuenzi mama'ke aliyefanya kila njia akafikisha kilio kwa mama Samia.Yupo kwa Mama yake
Feitoto eeh!!Mwache apumuwe. Ujinga wake ulimweka pabaya sana. Amuenzi mama'ke aliyefanya kila njia akafikisha kilio kwa mama Samia.
Wamejificha msitu wa Mitamba KibahaMikia njooni kwenye uzi tunawamiss ndugu zetu
Huyo anaeenda kule sio cocastic kweli 🤣WanasiiimbaaaaaView attachment 2655067
Kauli ya Rage kuhusu umbumbumbu inajionyesha hapa , hakuna kombe la shilikisho sahihi ni shirikisho.
Makolokoloo...Azam anawin hii game. prediction ni Azam 2-1 Yanga
Yaani makolo kila wanaloomba linakuja kinyume.Makolokoloo...
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Maisha ya mpira ni ya kipuuzi sometimes
Huyo unayemtilia mashaka kwenye game ya leo, humu aliwahi kuitwa Haaland.