Wanatesekaa...mnoo...Yaani makolo kila wanaloomba linakuja kinyume.
π€£π€£π€£ Kwahyo atakuwa kafungua account nyingineKala ban...
Ahsante jirani. Kawaida yetu.
Kauli ya Rage kuhusu umbumbumbu inajionyesha hapa , hakuna kombe la shilikisho sahihi ni shirikisho.
Aliyechora maandishi kwenye hilo boksi anawakilisha mbumbumbu wengi waliojificha.
Kwamba wenyewe ndio hawataki kombe au unamaanisha nini..!!Kocha wa Azam ni Kali Ongala mwanayanga inategemea nini sasa hapo,kama sio kuachiana tu!
hivi itakuwa ni mfumo wa ligi ama mtoanoTop 4
Mtoanohivi itakuwa ni mfumo wa ligi ama mtoano