Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Ngapi hukoo nasikia shangweYanga ya Makombe.
Simba na Azam 0 Yanga wanainua kwapa na kombe la 3Ngapi hukoo nasikia shangwe
Anko amkaaπAzam anawin hii game. prediction ni Azam 2-1 Yanga
Cheki Kinabo mwingine huyuSimba wanaomba Azam ishinde ili tusikutane nao ngao ya jamii
[emoji3][emoji172][emoji172][emoji172]Simba na Azam 0 Yanga wanainua kwapa na kombe la 3
Game imeisha Mumy. Tumeshinda moja.Ngapi hukoo nasikia shangwe
edit comment mkuu watakuvamiaAzam anawin hii game. prediction ni Azam 2-1 Yanga
Sisi haoooo[emoji172][emoji172][emoji172][emoji172]Game imeisha Mumy.
Tumechukua ubingwa tena. [emoji123]
Kombe la chaiππWamejitahidi sana licha ya uchovu wa Sherehe kuzunguka Dar es salaam na ratiba kubana lakini wamefanikiwa kutwaa ubingwa mwingine .
Sisi Madundukaz sijui tushangilie kombe lipo mwaka huu.
Ndio ndio. ππTukutane Jioni ikulu.... Leo tukapumuzike