Yoav Gallant
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 2,122
- 4,699
Twende kazi Wananchi second half
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijajua idadi ya magoli ila watashinda
Si kweli, mbona utaratibu upo waziGongowazi wanaamini ushindi wa Azam utaifanya Simba ianzie Shirikisho
Naaam bado viwili refa amalize mpira tuwahi nyumbani, nmeacha wali jikoni😁😁
Waite na makolo wenzakoAzam anashinda hii game
TawileeeeSijajua idadi ya magoli ila watashinda
Amka utajinyea
Yaani utafikiri tuko shule tunatoka mapumziko saa sita moja KWA moja uwanjani tunakipiga dakika 20 kengele inalia😁kwa nini isingechezewa kw mkapa?
washa azam maxumeme wamekata ila uzi hautembei kbs
Ndio huyo huyo naona kuna muda dish linayumbaMunch wa annabelletz47 mkuu wewe siyo yen3be kama sijakosea kwani matokeo ya kujiunga form one BADO🤣🤣🤣🤣naona umerudi kwa kasi ya ajabu
Ndio huyo huyo naona kuna muda dish linayumba