Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Jitihada na Ukomavu katika maamuzi ni kitu kilichowasaidia sana Yanga mwaka huu. Mambo hayohayo ndo yameiua Azam mwaka huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wananchi wa wapi hao? wa DP world?Dk ya 81! Bado matokeo ni 0-1. Wananchi tungeongeza goli 1 lingine, tungemaliza kabisa mchezo.
endeleeni tu kupelekewa motoDah! Hizi dakika za mwisho Wananchi tunapelekewa moto balaa. Hawa wauza juice wanatakiwa waongezwe goli la pili, ili kumaliza kabisa huu mchezo.
Matusi ya nini kijana?Wanakuja ila chukua boda chap uje guest ileile nayokufyatuliaga nikumwagie volcano la moto.. leo hautafua mashuka, ntakumwaga mavi kidogo tu
Swala la dp si limeisha mliowachagua 2020 wamefanya maamuz kwa niaba yenuwananchi wa wapi hao? wa DP world?
Mtaongeza la pili kuweni na amaniWameongeza dakika 9
Kwani uyu kayoko ni kolo au ni chawa wa MO
Hizo dakika ni za woteMtaongeza la pili kuweni na amani
Uzuri wa dakika za nyongeza zinawahusu wote kwahiyo ni advantage pande zote kwani kuna tatizo?
Azam hawezi kuifunga Yanga kwa misimu hii take it from me.Hizo dakika ni za wote