draw ugenini siyo mbaya, ni mwanzo na bora kuliko man city, arsenal, juventus ... walivyoanza musimuHongereni simba kwa matokeo mliyoyapata
Kabisa mkuu, tuwaache uto waendelee kukenua humu ila kesho watakionaTuvumilie tu hakuna namna
mitopolo italakamika sana
Daa leo draw ugenini imekuwa siyo mbaya?draw ugenini siyo mbaya, ni mwanzo na bora kuliko man city, arsenal, juventus ... walivyoanza musimu
Angepiga yeye akakosa bado ungekuja hapa kusema kwanini boko hakupiga.Hivi simba tuna matatizo gani, kwani ilipopatikana penalt erasto nyoni hakuwemo. Si tumekubaliana ndo mpigaji bora wa penalt zote za hatari?
Nami nimeuliza. Penalt zote za lawama anapiga nyoni. Inakuwaje leo boccoHivi Nyoni hakuepo kupiga penati
Ana historia nzuri ya kupiga penaltAngepiga yeye akakosa bado ungekuja hapa kusema kwanini boko hakupiga.
Acha ujuaji mkuu, mashabiki wa kibongo? Wewe upo ulaya??Hii ndo mechi ya kwanza umeshaanza kulalama.Mashabiki wakibongo tujifunze kua wavumilivu.zama zinabadilika.cha msingi ni kusapoti timu.
Haya ukweli ndio huo,msimu huu hatuna timu.Hii Simba Sc ikitoboa msimu huu, utakuwa ni mwisho wa dunia.
Hivi kwanini watu tusikubali kwamba msimu huu hatuna team? Team imekuwa ya kipumbavu sana.
Niiteni utopolo,nitukaneni ila ukweli ndo huo.