Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Sadio Kannute, Dancan Nyoni na Ausmane Sakho, wanaenda kuyaziba mapengo ya Chama na Miquessone hivi karibuni.Naona pengo LA wachezaji wawili limeshindwa kuzibwa na watu kumi
Peter Banda huyo hadi Msimu ujao chakula kikisha mkubali.