FT: Biashara 0 Simba 0

Dahhh sijui mkosi gani uu anyway tuwape muda matter of time
 
no chama ,no miquissone.. sasa nd tunaona mbinu halisi za didier gomes da rosa zikoje.. mechi 4 z ligi zinatosha kw uongoz w simba kufnya maamuz kam n koch sahihi w kumaliz nae ligi am wamfukuze.
 
Simba team yetu haiko sawa bado. Ikichangiwa na kuondoka key players kama Chama na Miquissone pia uchovu wa msimu uliopita upo dhahiri kwa baadhi ya wachezaji.

Maingizo mapya yasilaumiwe wanahitaji muda ku settle in.
 
no chama ,no miquissone.. sasa nd tunaona mbinu halisi za didier gomes da rosa zikoje.. mechi 4 z ligi zinatosha kw uongoz w simba kufnya maamuz kam n koch sahihi w kumaliz nae ligi am wamfukuze.
Kuna mechi ambazo chama na miquson hawakwepo na Simba ilikuwa inashinda ,tatizo lipo kiufundi
 
Huyuu Sakho hivi viwanja vinamfaa ni kama Morrison Tuu viwanja Vinamfaa hivi. Kikubwa ni Kuwa Kocha Bado Hajawajua Wachezaji wake hajui nani ni nani?
 
Hii ndo mechi ya kwanza umeshaanza kulalama.Mashabiki wakibongo tujifunze kua wavumilivu.zama zinabadilika.cha msingi ni kusapoti timu.
Ni kweli sasa hivi hata timu za ligi kuu zote ziko vizuri ,mfano hao biashara wako vizuri ,Dodoma Jiji ,Azam ,Yanga ,KMC .
Ligi ni ngumu hasa mechi za mikoani kutokana na viwanja ,mda bado upo ni mwanzo wa ligi
 
Kuna mechi ambazo chama na miquson hawakwepo na Simba ilikuwa inashinda ,tatizo lipo kiufundi
Wachezaji waliokuwa wakipata nafasi walikuwa wanatumia nafasi hizo kuonesha kwamba wanaumhimu hivyo wapewe nafasi

Sasa hawana cha kuhofia
 
mimi natazama mapungufu ya Simba kama udhaifu toka aondoke Sven (kishingo) tuwe wawazi Sven aliwasaidia sana katika pattern ya kushinda na timu ilikiwa superior sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…