FT: Biashara 0 Simba 0

Sadio Kannute, Dancan Nyoni na Ausmane Sakho, wanaenda kuyaziba mapengo ya Chama na Miquessone hivi karibuni.

Peter Banda huyo hadi Msimu ujao chakula kikisha mkubali.
Ao kanoute,sakho hawawez shughuli ya uku East Africa wangebak west uku ngoma ngumu lazm wachuje,chama alikuw chuma kwel kweli,ndio mana yanga wanaenda Congo kubeba wachezaji na sio west tunza manen yangu ,
 
We ni mpumbavu hukutaka wachezaji wauzwe ?

Hivi unajua mchezaji akitaka kuondoka huwez kumzuia ?
 
We ni mpumbavu hukutaka wachezaji wauzwe ?

Hivi unajua mchezaji akitaka kuondoka huwez kumzuia ?
Usingeweza kunijibu bila kunitusi? Kwamba ukinitusi ndo Simba itakuwa vizuri msimu huu?

Unapenda sana kutukana sio, inaonekana umetoka kwenye familia ya wauza mbususu.Yaani mama muuza nyago, baba mnunua nyago na Sasa mtoto ni muuza 0711
 
Inategemea mkataba, Harry Kane alitaka kuondoka amekataliwa Tottenham
Harry Kane ndio kakataa kuondoka sio Tottenham imemkataza kuondoka!

Ingia hapa usome taarifa yake!

Nakwambia Tena mchezaji akiamua kuondoka timu haiwezi kumkataza.

Fabregas aliongeza Hadi hela yake ya mfukoni ili aweze kuondoka arsenal.




Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Na si mara ya kwanza bocco kukosea penati ,huwa anapaisha au anapiga haina nguvu ,aisee alipochukua mpira niliondoka maana nilijia atakosa tu halafu na ile presha ya kupata penat
Bocco sio mpigaji penati mzuri kwa mechi za kuamua matokeo, alipoteza penati fc rabat na Azam, Simba na Mazembe robo fainali , Simba na Ruvu tena tulifungwa 2 kwa 1 na mechi ya leo. Aache kulazimisha ufungaji bora kupitia penati na pia timu iwatambue wapigaji penati kwa kifupi kiherehere chake kimetukosesha ushindi.
 
Pale alipochukua mpira wengine walimheshimu kama capten .Ila mi leo nimekuwa wasiwasi baada ya mechi ya hawa wenzetu ,pamoja na mpira kwenye carpet lakini wachovu tu walikoswa kosa na kagera wakanyimwa penati ,tutaona uhalisi wao mechi yao na coastal kwenye vumbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…