FT: Biashara 0 Simba 0

Hii Simba Sc ikitoboa msimu huu, utakuwa ni mwisho wa dunia.

Hivi kwanini watu tusikubali kwamba msimu huu hatuna team? Team imekuwa ya kipumbavu sana.

Niiteni utopolo,nitukaneni ila ukweli ndo huo.
Hii ndo mechi ya kwanza umeshaanza kulalama.Mashabiki wakibongo tujifunze kua wavumilivu.zama zinabadilika.cha msingi ni kusapoti timu.
 
Hivi simba tuna matatizo gani, kwani ilipopatikana penalt erasto nyoni hakuwemo. Si tumekubaliana ndo mpigaji bora wa penalt zote za hatari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…