Bado mpira mbichi huu mtani....... ushindi upoHalafu mkikaa eti mnajipa moyo bado point moja.
Haya ipateni sasa mufuzu. π π
Tunakoelekea watazihitaji sana. πSimba calculator ni muhimu sana
Hawabahatishi kama makolo unaona kbs goli linatafutwaaHawa Bravo ilifaa wawe club bingwa wanaupiga mwingi sana
Kabisa my dear hawa tunawasagia kunguni tu. π€£π€£π€£Kamati ya roho mbaya ndiyo tunaingia π π π π π π π π
Kabisa kolo naona wanakimbia kimbia tuHawabahatishi kama makolo unaona kbs goli linatafutwaa
Sio tu mganga jadi,ilamchawi wenu aliyenachuki na nyieSkuizi umekuwa mganga wa jadi?
Tunakoelekea watazihitaji sana. π
Kuzubaa ni jadi yenu mkiona wanaumeKinachofanya beki ya Simba iwe inazubaa ni nini. Maana uwanja hauna hata mashabiki