FT: Bravos do Maquis 1-1 Simba SC | CAF Confederation Cup | Estadio 11 de Novembre | 12.01.2025

Ipo hivi
1. Tofauti ya points
2. Mkilingana point inaangaliwa tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa (GD)
3. Mkilingana points na GD inayofuata ni Head to Head. Hapo sasa Simba anapenya.
Kila mashindano yana kanuni zake. Zingatia neno 'mashindano'. Kila msimu mpya huhesabiwa kuwa ni 'shindano' jipya. Mashindano ya CAF CL na CC 2024/2025 kanuni zinaitanguliza hiyo namba 3 kabla ya namba 2. Usikariri, yawezekana mwakani 2025/2026 kanuni zikabadilika, ila haya ya CAF CL na CC 2024/2025 kanuni ndio hivyo, Bravos hawawezi tena kuwa juu ya Simba
 
Watu wa mtaa wa pili akili haziwakai sawa mpaka wapige kibuduz supuz😂
 
Back
Top Bottom